simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mwalimu Nyerere Memorial Academy

with 3 comments

The Mwalimu Nyerere Memorial Academy. Zamani kiliitwa Chuo cha Siasa cha Kivukoni. Ni mahali pa kupendeza. Wengi wamepita hapa. Chuo kimepitia zama tofauti tangu enzi za siasa ya chama kimoja. Hivi sasa kinatoa Shahada mbalimbali.

Kulikuwa na ripoti kwenye magazeti siku za hivi karibuni kwamba chuo kinakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji. Je, ipo haja ya kuleta nchini teknolojia ya kutumia maji ya bahari kwa matumizi ya binadamu? Labda njia hiyo itasaidia kutatua matatizo ya maji katika chuo hiki na maeneo mengine katika jiji la Dar es Salaam.

Advertisements

Written by simbadeo

June 11, 2008 at 7:48 pm

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. ooya cheki hiyo ndo MNMA

  Like

  JUNTA

  June 30, 2011 at 6:23 pm

 2. +

  Like

  fahari yetu

  June 30, 2011 at 6:24 pm

 3. Nimetokea kukipenda sana hiki chuo japo ndo naingia mwaka wa 1 na bado cjafika hapo chuoni. Ila nakifahamu.

  Like

  Nuru mohamed

  September 30, 2011 at 6:37 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: