simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tumwombe Bush atusaidie …

leave a comment »

 Ni tarehe 9 Juni 2008, saa 3 asubuhi. Eneo ni Barabara ya Nyerere mbele ya Jengo la Glasstech.

Polepole, jalala au dampo inahamia hapo. Ndiyo kusema ustaarabu wetu Watanzania umeishia hapa? Sitaki kuamini.

Sitaki kuamini kuwa ni lazima tuwaombe akina Bush waje watusaidie katika kila kitu mpaka usafi wa maeneo tunayoishi na kufanyia kazi. Kana kwamba hatuna shukrani, tunaanza kulundika uchafu kama huu kwenye barabara iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Nyerere. Tena ni barabara kuu ambayo wageni wa dunia hii hupita ili kuingia na kutoka nchini.

Mzee Kandoro, uko wapi? Mheshimiwa Meya Kimbisa, vipi mambo haya? Dar inanuka. Dar ni chafu. Dar inatia kinyaa. Dar ni nzi kila mahali. Dar ni joto. Dar ni uvundo. Uvundo mpaka kwenye akili zetu. TUBADILIKE. TUWAJIBIKE. Hivi, si kuna watu wanalipwa kwa ajili ya kazi hii, wako wapi?

 

Advertisements

Written by simbadeo

June 9, 2008 at 11:10 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: