simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Charles Mloka – Mwandishi Mahiri wa Mashairi

with 3 comments

Kushoto ni mhariri wa Mkuki na Nyota Publishers, Danny Mfikwa, kulia ni mwandishi na mtunzi mahiri wa mashairi katika Tanzania, Charles Mloka. Baadhi ya vitabu vyake ni pamoja na Diwani ya Mloka, Chemsha Bongo Elimu Jamii na The Wonderful Surgeon. Bado anaendelea kuandaa vitabu vingi zaidi, kama vile riwaya inayoitwa Hutaniacha Morogoro na utunzi mwingine wa ushairi Bush Rodent.

Hapo wapo katika ofisi ya Uchapishaji ya Mkuki na Nyota katika sehemu ya maandalizi ya miswada zaidi. Ni tarehe 6 Juni 2008.

Advertisements

Written by simbadeo

June 6, 2008 at 5:26 pm

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. mkuu nnashida naomba msaada wako mimi nipo london uk ninavitabu yangu naitaji kuvitoa lakini naomba msaada wako naomba tuwasiliane kwenye email yangu hiyoo hapo juu

  Like

  pazi

  November 13, 2009 at 7:40 pm

 2. nakupongeza mzee mloka napenda sana shairi la usione ukadhani, wito wa mwenyekiti, wosia kwa chipukizi weee. pia nasi washairi tunao chipukia tunaomba utuunge mkono

  Like

  mandela pallangyo

  November 12, 2013 at 11:14 pm

 3. Charles mloka ni mwaandishi mahiri anaye stahili kuigwa na watu wa rika rika zote kwani ni mtu asiye na upendeleo anasaidia na kusikiliza watu wote hivyo ni vyema kama waandishi wengine wangemuiga na kuacha umimi.
  aiwezekani watu kujifanya ni wakereketwa wa maendeleo na kusimama kwenye majukwaa na kudai heti we are stoping the poverty wakati kwa nyuma ni wachoyo hata wa kimawazo.wanafiki!

  Ujumbe umeshafika, nimefikisha mjumbe
  Nimetoa mashitaka, tu uacheni uzembe
  Na hii siyo dhihaka, wenza wangu viumbe
  Mumuigeni mloka, mjivue uzandiki

  Like

  mandela pallangyo

  February 11, 2014 at 10:55 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: