simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Sura ya Dar kutokea baharini …

with one comment

darshiptower.jpg

utumishihouse.jpg

Inazidi kupendeza. Labda tatizo pekee ni harufu ya ufisadi. Naamini yangependeza hata zaidi kama kusingalikuwa na harufu hiyo ya ufisadi. Aah, ufisadi, kwa nini unanenepesha wachache na kuwakondesha mamilioni wengine? Mpaka lini utaendelea hivyo? Mpaka lini tuendelee kupaka chokaa na rangi makaburi ambayo ndani yake yamejaa uoza na mifupa?

Ufisadi, tokomea, tokomeaaaa!

Ondoka, unatutesa, unatunyanyasa katika nchi ya mababu na mabibi zetu wenyewe, ondoka, angamia.

Advertisements

Written by simbadeo

March 9, 2008 at 11:47 pm

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Mzee Simbadeo.Naamini kabisa haki itapatikana kwa yeyote yule ambaye hatoi wala kupokea rushwa.Ufisadi utaisha kama tutaanzia nyumbani kuwafundisha watoto wetu kwamba adui mkubwa wa binadamu ni rushwa na ufisadi.Charity begins at home.

    Respect Mzee.

    Like

    luihamu

    March 10, 2008 at 7:41 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: