simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mabango, foleni … mitaani

with 3 comments

mabangokigogo.jpg

magomenitokigogo.jpg

kinondonimbuyunidar.jpg

Ni tarehe 1 Machi 2008. Barabara ya Kawawa: Kinondoni Mkwajuni, Magomeni (eneo la Mikumi kushuka bonde la kuelekea Kigogo) na karibu na Round About ya Kigogo.

Kuna mengi ya kufanya ili kufikia standards zinazokubalika. Picha zinaeleza mengi.

Advertisements

Written by simbadeo

March 2, 2008 at 12:28 pm

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. msongamano wa magari.hivi kwanini tusitenge barabara ya magari makubwa kama malori na magari madogo?

  Like

  luihamu

  March 3, 2008 at 8:02 am

 2. Foleni ya magari nidhahiri wahusika waliotutangulia hawakufikiria, baada ya miaka mitano barabara zitakuwa kama sasa ama vipi, cha msingi tujifunzi na tupange mikakati ya miaka ishirini ijayo.

  Like

  Yasinta

  March 6, 2008 at 3:16 pm

 3. Wadau Lui na Yasinta, ni kweli, ipo haja ya kuwa na mipango madhubuti kuhusu suala zima la miundombinu. Jambo hili halina budi kwenda sambamba na upangaji miji. Upangaji miji ufanywe na professionals walio pia ‘visionary in nature’, ili waione miji wanayopanga miaka walau mia moja mbele kuwa itakuwaje.

  Lakini hiyo haitoshi, wanasiasa hawana budi kufuata kile professionals katika field mbalimbali wanavyoshauri. Siasa isitawale au isiingilie katika kufanya uamuzi ambao unapaswa kufanywa na wataalamu. Kuwepo na a political will to let professionalism to dominate.

  Ni jambo gumu na pengine geni katika jamii yetu, lakini ndiyo njia pekee ya kujikomboa.

  Nawaunga mkono wachangiaji hapo juu.

  Like

  simbadeo

  March 6, 2008 at 11:45 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: