simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Baraza Jipya katika Serikali ya Awamu ya Nne

with 2 comments

KABLA HAJATANGAZA JK KASEMA VIONGOZI WA MUDA MREFU WAMEOMBA KUPUMZIKA AMBAO NI: 

1. JOSEPH MUNGAI

2. KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

  BARAZA LENYEWE NI: 

1. WAZIRI OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA) SOFIA SIMBA

2. WAZIRI OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UMMA) HAWA GHASIA

3. WIZARA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (SHUGHULI ZA MUUNGANO) MOHAMED SEIF KHATIB

4. WIZARA YA UTALII NA MAZINGIRA DK. BATILDA BURIANI

5. WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (SERA NA URATIBU WA BUNGE) PHILIP MARMO

6. WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA STEVEN WASIRA

7. WIZARA YA FEDHA MUSTAFA MKURO NA MANAIBU NI JEREMIH SUMARI NA OMARI YUSUF MZEE

8. WIZARA YA AFYA PROFESA DAVID MWAKYUSA NAIBU NI AISHA KIGODA

9. WIZARA YA ARDHI JOHN CHILIGATI

10. ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE NAIBU GAUDENSIA KABAKA

  

11. WIZARA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA SHUKURU KAWAMBA NAIBU NI DK. MAUA DAFTRI

12. WIZARA YA MIUNDO MBINU ANDREW CHENGE NAIBU DK. MAKONGORO MAHANGA

14. WIZARA YA UTAMADUNI NA MICHEZO GEORGE MKUCHIKA NAIBU JOEL BENDERA

15. WIZARA YA KAZI NA AJIRA POFESA JUMA KAPUYA NAIBU HEZEKIA CHIBULUNJE

16. WIZARA YA MAJI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU CHIZA

17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MATHAYO DAVID MATHAYO

18. WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MARGARETH SITTA NAIBU NI MAMA NKYA

19. WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO JOHN POMBE MAGHUFULI NA MANAIBU NI

SHASMSA MWANGUGA NA EZEKIEL MAIGE

20. WIZARA YA MAMBO YA NDANI MH. MASHA NAIBU NI HAMISI KAGASHEKI

21. WIZARA YA MAMBO YA NJE NI MEMBE NAIBU SEIF ALI IDDI

22. WILLIAM NGELEJA NAIBU ADAM MALIMA

23. WIZARA YA SHERIA MH. CHIKAWE

24. WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA DK. HUSSEIN MWINYI NA NCHINI

25. WIZARA YA AFRIKA MASHARIKI DK. E. KAMALA

26. WIZARA YA BISHARA DK. MARY NAGU NAIBU CYRIL CHAMI

   

JK ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

JK ANAINGIA UKUMBI WA TAMISEMI DODOMA SAA TISA NA DAKIKA 16 AKIONGOZANA NA MAKAMU WA RAIS DK. ALI MOHAMED SHEIN NA WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA. ANAKAA NA KUOMBA ABADILISHIWE KITI KWANI CHA AWALI HAKUKIPENDA. ANATOA MUHTASARI WA KILICHOPELEKEA KUTANGAZA BARAZA JIPYA. UFUATAO NI MUHTASARI WA HOTUBA YA JK

AMEANZA KWA KUTOA MAELEZO KWAMBA WAMEZINGATIA KAZI MBILI KATIKA KUAMUA

*KWANZA KUTAZAMA MUUNDO WA SERIKALI.

*YA PILI KUJAZA NAFASI ZA KUJAZA BARAZA LA MAWAZIRI.

KATIKA UTEUZI WALIZINGATIA MATATU.

1. JUKUMU LA SERIKALI KWA MUJIBU WA KATIBA

2. MAHITAJI YA MAENDELEO YA TAIFA NA WANANCHI KUFUATIA ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA TAWALA

3. UFANISI WA MAJUKUMU YA KISERIKALI.

YALIYOAMULIWA NI KUUNGANISHA NA KUPUNGUZA WIZARA

*OFISI YA RAISI SIASA NA USTAWI WA JAMII VINAHAMISHIWA PMO

*UCHUMI NA UWEZESHAJI INAUNGANISHWA NA FEDHA

*TUME YA MIPANGO KUWA OFISI

*MAMBO YA NDANI NA USALAMA WA RAIA NI WIZARA MOJA TENA

*MAMBO YOTE YA ELIMU YATAKUWA CHINI YA WIZARA MOJA BADALA YA MBILI KAMA ILIVYO SASA

*KUTOKANA NA ONGEZEKO KUBWA LA SHULE ZA SEKONDARI, IMEAMULIWA USIMAMIZI WAKE UHAMISHIWE TAMISEMI KAMA ILIVYO ELIMU YA MSINGI ILI KUSOGEZA MAAMUZI KARIBU NA SEHEMU HIZO.

*SHUGHULI ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA SHUGHULI ZA MAWASILIANO KUTOKA WIZARA YA MIUNDOMBINU ZINAUNDIWA WIZARA YAKE, NA ITACHANGANYWA NA TECHNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO ILI KUTOA NAFASI STAHIKI KWA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA YA HABARI ILI

*USIMAMIZI WA KAMATI YA PAMOJA YA KUSHUGHULIKIA MASUALA YA MUUNGANO, MWENYEKITI NI MAKAMU WA RAIS.

*MAJI IMEUNGANISHWA NA KILIMO ILI WIZARA HII ISHUGHULIKE NA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI.

*SEKTA YA UVUVI IMETOKA WIZARA YA MALIASILIN NA UTALII KWENDA WIZARA YA MIFUGO

*OFISI YA MANASHERIA MKUU WA SERIKALI; KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA ASIWE NAIBU MWANASHERIA MKU, INATAKIWA NAIBU MWANASHERIA MKUU HUYO AMSAIDIE MWANASHERIA MKUU, WAKATI KATIBU MKUU AENDELEE NA MAJUKU YA WIZARA YA SHERIA NA KATIBA.

*UIMARISHAJI WA USHIRIKA NA BIASHARA YA NDANI NA BIASHARA YA NDANI KWA JUMLA; BADALA YA KUWA IDARA KATIKA WIZARA NA ENDAPO WIZARA INAHAMA MAKAZI INABAKI IDARA AMBAYO HAINA KITUO MAALUMU.

*BIASHARA YA NDANI AMBAYO INA BODI YA BIASHARA AMBAYO ZAIDI YA MAONESHO YA BIASHARA NA USHAURI WA BIASHARA YA SOKO LA NDANI, HAKUNA MFUATILIAJI WA KUTENGENEZA SOKO LA NDANI.

KWA HIYO BARAZA NI KAMA IFUATAVYO NA JK ANAKIRI HAIKUWA KAZI RAHISI:

AMESEMA WIZARA ZITAKUWA 29 NA MANAIBU 21

 

***Taarifa kwa hisani ya blog ya Michuzi Issa.

Advertisements

Written by simbadeo

February 12, 2008 at 4:46 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Tunashukuru kwa kutuletea baraza hili lakini mbona manaibu hawajakamilika?

  Like

  Raymond mauki

  June 23, 2008 at 7:55 pm

 2. Ndugu Mauki,

  Asante kwa hoja uliyotoa. Orodha niliyotoa kwenye post hii ilikuwa na chanzo chake katika blogu ya Uncle Michuzi. Bila shaka iliandaliwa kwa haraka wakati uleule Baraza lilipokuwa likitangazwa. Nia ilikuwa kutoa taarifa ya Baraza jipya kwa haraka. Baadaye Baraza zima lilifahamika vema. Naamini ukihitaji taarifa hizo unaweza kupata mahala pengi, hususan kwenye Tovuti ya Serikali.

  Asante kwa kutembelea Mtaa huu katika ulimwengu wa kudonyoa computer. Usichoke.

  Like

  simbadeo

  June 23, 2008 at 10:37 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: