simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ni huyu, Waziri Mkuu …

with one comment

mizengopindamjengwamaggid.jpg

Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Mbunge wa Mpanda Mashariki ateuliwa na JK na kuthibitishwa na Bunge tukufu la Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu.

Katika post iliyopita nilizungumza juu ya Watanzania kupigwa na bumbuwazi kuhusu yaliyojiri ndani ya siku tatu zilizopita.

Kilichoonekana ni nguvu ya Umma. Umma umedhihirisha kuwa una nguvu kuu, kuu kuliko woga, woga wa bunduki. Umma ukiamua kuwe na mabadiliko, yatakuwepo.

Nitumie fursa hii kuwapongeza Watanzania kwa ujumla wao kwa kuleta mageuzi waliyoyaleta. Ni mageuzi ya maana kwa Taifa hili la Tanzania. Ni mageuzi ya maana kwa nchi za Kiafrika.

Ni matumaini yangu kuwa mageuzi haya yatasambaza AMANI na MAELEWANO kwa mataifa jirani, hususani ndugu zetu na jirani zetu wa Kenya na nchi zinazotuzunguka. Ni wakati sasa Wakenya waketi chini, wakiunganishwa na Mzee Kofi Annan ili wamalize mateso na madhira yanayowapata watu wa kawaida.

Mungu ibariki Afrika. Mungu ibariki Tanzania.

Picha ni kwa hisani ya Maggid Mjengwa.

Advertisements

Written by simbadeo

February 9, 2008 at 12:43 am

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Mkuu Simbadeo sasa blogu yako inameremeta.Hongera Mkuu.

    Like

    luihamu

    February 9, 2008 at 3:53 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: