simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mtaa wa Kongo ndani ya Bongo

leave a comment »

Congo Street

Ni Mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam leo. Ule msongamano wa zamani umepungua kidogo, lakini unazuka msongamano wa aina nyingine. Maegesho ni tatizo. Na ni tatizo linalokua kila kukicha. Majengo hayo ni ya biashara na ya kuishi. Hebu fikiria ikiwa kila familia itakuwa na gari moja au mawili. Watayaegesha wapi? Je, wapangaji wengine wanaofanya biashara sehemu za chini za majengo hayo. Waegeshe wapi magari yao? Je, wateja wanaokuja kununua bidhaa mbalimbali, waegeshe wapi magari yao?

Mababa wa jiji bado wana kazi pevu kutafuta ufumbuzi wa tatizo hili. Wapanga miji hasa ndiyo wenye kazi hapa. Labda ni wakati sasa kuwa maeneo mengine ya DSM yaanze kupangwa vyema kuliko kuendeleza staili hii ya upangaji miji pasipo viwanja vya wazi, viwanja vya michezo na maegesho ya magari, pia vituo vya taxi na daladala.

Bado tuna safari ndefu.

Advertisements

Written by simbadeo

January 27, 2008 at 12:24 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: