simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar Sun-Set on First Day of 2008

with 2 comments

Dar Sun-Set on First Day of 2008

It’s 6.30 pm. 1st January 2008. Dar es Salaam, Tanzania. Even though there is a hanging cloud, still hope stands in golden beams, our hopes will never be shattered, come whatever may, winning we shall win.

The sad cloud around our neighbours will not take away our hope for a better future around us, near us and far from us. Many have let their blood fill the streets, flowing towards justice, true justice, shoot at us they will always do, they will never stop attacking us, but we will never stop advancing our hope, dreaming of a better world.

They will rule by state organs, it’s our bodies they are going to chain, but never our minds and souls, never. We will always be US. They will never take away our true identities. In solidarity we will stand from our holes, our homes, our towns, wherever these may be around the globe.

The hanging cloud over the golden horizon will never shatter away our dream, freedom dream, dream of freedom, true freedom, true democracy. The gun will never stop us. Unless a seed dies, it will never yield. So 124 heroes and heroines have fallen so that we may reap true yields, huge yields, yields of success, unity, joy and respect. Solidarity forever.

Advertisements

Written by simbadeo

January 1, 2008 at 10:36 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mkuu Simbadeo, wingu lililo tanda kwa waafrika wenzetu ni huzuni kubwa sana.

  Like

  luihamu

  January 6, 2008 at 1:22 pm

 2. Comrade Ras Lui, nakubaliana nawe. Wingu lililotanda kwa Watani wetu wa jadi ni wingu zito zaidi. Sina hakika kama kule wenzetu walianza na salamu ya ‘Heri ya Mwaka Mpya’. Utawezaje mtu kutoa salamu kama hiyo ili hali kila mahali watu hawana amani? Watu wanatafuta jinsi ya kuokoa maisha yao? Watu wanatapatapa?

  Inasikitisha. Nadhani Bw Kibaki anapaswa kutafuta kujengeka katika hekima zaidi. Katika umri wake, tungetegemea ajisikie kuwajibika zaidi kidogo kwa yale yanayoendelea nchini mwake. Si vizuri kuendeleza kiburi anachofanya.

  Watu wa Kenya wametamka kwa vitendo. Mwenyekiti wa ECK ametamka kuwa hana hakika kuwa Kibaki alishinda.

  Hekima katika hali ya namna hiyo ni kurejea Uchaguzi wa Rais ambao umelalamikiwa sana. Ikiwa watu wa Kenya wanampenda kweli Kibaki, watamchagua tena, na inawezekana kuwa atapata matokeo bora zaidi kuliko yale ya sasa. Ikiwa ni Raila Odinga ndiye mshindi, kura zitaonyesha hivyo. Kwa nini yeye Kibaki anaogopa? Kuna dhambi gani anakusudia kuficha hapa?

  Kwa nini anaendelea na hatua nyingine zaidi ya kuunda Baraza la Mawaziri? Kwa nini? Je, hii si mbinu nyingine chafu ya kuendelea na harakati za kuwagawa Wakenya? Maana kwa kumteua Musyoka kuwa Makamu wa Rais, maana yake ni kutaka wale wote waliompigia Musyoka kura kuwa upande wake, anataka kuteka uhuru wa wapiga kura. Hii si haki. Hii si sawa. Ninasema hivi kama binadamu aliyeguswa na mateso na mahangaiko ya watu wa kawaida. Maana hao ndiyo wanaokosa mahali pa kulala. Hao ndiyo wanaolazimika kukimbia huku na huko. Ni huzuni tu kwao.

  Kuna tetesi, sijazithibitisha, kuwa katika utoto wake, Bw Kibaki aliwahi kusoma na kuishi nchini Tanzania. Inasemekana alisoma katika Shule ya Msingi Karema, iliyoko mwambao wa Ziwa Tanganyika, Wilaya ya Mpanda, Mkoani Rukwa. Wenye data zaidi kuhusu hili hebu watuletee.

  Like

  simbadeo

  January 9, 2008 at 11:02 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: