Comments for simbadeo2000

Comment on Charles Mloka – Mwandishi Mahiri wa Mashairi by pazi
mkuu nnashida naomba msaada wako mimi nipo london uk ninavitabu yangu naitaji kuvitoa lakini naomba msaada wako naomba tuwasiliane kwenye email yangu hiyoo hapo juu

Comment on Kuku wa Amadori by p squire
it’s true what my friends comments about the specialist,b’coz even I try to look such information but funny enough I did n’t find & we are saying KILIMO KWANZA how is it possible.To my point of view I think the committe did not think of it first,am n’t saying it’s a bad idea,but they should analyse things well, by putting polices that are condussive and can be implimented by the required society.

Comment on Tuna historia … tuitunze by andrew
katika wilaya ya kahama kuna sehem moja panaitwa MFUFUMO ni kijiji cha maajabu .

Mpaka muda huu ninao ongea mimi mwenyewe nipo hapa kuna mama mmoja wa ajabu anajua kila lugha.

Na anasema yeye ni mailaikas katumwa kuja kuwahubiri watu waache madhambi .

mama huyo yuko juu ya mlima na kuna maji mengi ya tililika toka juu mpaka chini ukifika pale kila swali swali ukalo nmuuliza lazima akujibu.

kweli ni mtu wa maajabu na viongozi wa wilaya huwa wakwenda kummuangalia wala hawmwmbii ahame kama hamuamiani  nttuwasiliane kwa e mail yangu ni wape diretion nzuri.

Comment on Wanamtandao ni kina nani Tanzania ya leo? by andrew
SIKU MOJJA RAISI ALIKUJA EWUILAYAN I KWETU TUKAMWAMBIA  KUHUSU TATIZO LA UMEME HAPA KAHAMA AKAMULIZA MENEJA  LAKINI ALIVYOTOKA TU WAAATU WAKAANZA KUKATIWA UMEME TATIZO KUNA MPIRA AMA COMEDY .

Comment on Wanamtandao ni kina nani Tanzania ya leo? by andrew
mi nauliza hapo kwetu kahama ni wilaya inaongoza kwa madini hapa tanzania.

SASA BALABALA HAZINA UBORA?

KITU KINGINE KILA MBUNGE AKIINGIA MADARAKANI ANATOKA TAJIRI SANA KWANINI?

MI NAULIZA WANAMPANGO GANI NA MAENDELEO YA WILAYA YETU.

Comment on Wanamtandao ni kina nani Tanzania ya leo? by andrew
mi mauliza kwamba kwanini rais jakaya na serikali kwa ujumla,kwamba mbona vyuo vya uhasibu hamvipi mikopo?

mi naona ndo maana hata waziri wa fedha anakosea kupanga bajeti kwasababu hakusomea uhasibu na kwanini sekta hii ya uhasibu mmeisahau sana?

mimi mwenyewe ni mwanafunzi wa chuo cha uhasibu T.I.A. SINGIDA HATA MIKOPO HATUNA NA CHUO CHA SERIKAKLI PIA HATA CHAKULA TUNAJITEGEMEA KWANINI .

Watu wa hali ya chini hawataweza kusomesha watoto wao.

Comment on RIP Godwin Kaduma by Boss Resurfacing
Off topic – Help with PM?

lost password

Boss Resurfacing

Boss Resurfacing

Comment on Parachichi jijini … by Bi Hayat
Mbona Maparachichi ni braun?/normally Green-Gray) ni quality ya picha, usanii wa mpigaji, quality ya maparachchi, hali ya mwanga picha ilipopigwa au menngineyo? na jua kali hilo ni kwa muda gani hio slow food Maparachichi yanaweza kuhufadhiwa? Unayapenda maparachchi?

Maoni yangu ni kua juices za fruits zinazokamuliwa kienyeji(na individual local vendors) yanaweza kuleta madhara mbalimbali kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo: kutumia maji machafu katika kutengeneza juice, poor personal hygiene ya mtengenezaji wa juice, wrong storage hasa hasa temperatures and general hygiene. hii ni hasa kwa watoto na watoto wa shule. Short term problems ni kama magonjwa ya tumbo ikiwemo salmonella, dirrhoea, hepatitis A, etc na long term problems in toxicity(kama matunda yamekua trated na chemicals zikiwemo fertilizers and sprays yakiwa shambani), kama matunda ni product ya genetic manipulation especially imported seeds. Health problems in this case can be inherited and long term i.e can destroy genetic information of children and their generations for generations!

Comment on Kuku wa Amadori by YOMBOP from Tanzania
Du kaka simba ni kweli unayosema kuwa kuku wanaweza kupatia kipato watanzania lakini kuna tatizo kubwa sana kwa wafanyabiashara wa kuku wenyewe na ambao tunawapelekea kkuku hao. Mimi nilikuwa mfugaji wa kuku hasa hawa wa kisasa lakini imefikia mpaka nimejitoa kwenye kazi hiyo kwa sababu kubwa ya kutoko kuwa na ushirikianio na wafugaji wengine. Na ushirikiano huo ninaosema siyo wa kufanya kazi pamoja bali  amawazo na bei katika soko ambalo watu woote tunakimbilia kuuza hao kuku wakisha kuwa wakubwna au wa kuuza mayai. Nilikuwa najaribu kufanya kazi hii kwa utaalamu mkubwa sana wa kuweka record ya gharama ninazotumia ili nijue ni faida gani halisi naweaza kupata wa kati wa kuuza. hadi mwaka 2008 december wakatiu mimi naacha kufuga kwa mujibu wa hesabu zangu nilizo kuwa nafanya kuku mmoja bloiler wa wiki 6 toka kumnunua hadi kumuuza alikuwa anafikisha gharama ya shs 3500 hadi 3800 na kama atakaa zaidi ya hapo gharama hizo zinaongezeka kwa sababu anaendelea kula kila siku, sasa ukuienda kwa wanunuzi hiyo ndio bei wanataka kununua kuku wako sasa hapa maendeleo utapata au unafanya kazi ya watu tu bila faida yeyote. usipo waauza kuku hao siku zinapozidi in maana gharama inaongezeka, ukiacha kuuz mwenzako anakuja hapo ulipo kataa hiyo bei ambayo uaona haina maslahi yeye anauza kwa bei hiyo wako wanabaki na gharama inaongezeka. Ukimuangalia mtu huyo unaponunu a chakula cha kuku na yeye anachukua hapahapo sasa unajiuliza mtu huyu anafanya hesabu kweli au anauza kuku kwa kuangalia bei ya kununua vifaranga na bei ya kuuzia kuku tu gharama nyingine haweki kama umeme, ulizi maji mfanyakazi (watu wengine gharama za mfanyakazi huwa hawaweki kwa sababu familia ndio inafanya kazi hiyo na hakuna malipo yeyote katika nguvu hizo za familia, umeme na maji watu wengi wanasahau kanma ni gharama katika kuku hao unaowauza kwa kuw atu maji na umeme ni bili za kawaida nyumbani wanasahau kuwa hii ni biashara ili kupata faida ni lazima gharama hizo uweke na usipo weka ndio unajidanganya kuwa umepata faida kumbe ni gharama zako mwenyewe ambazo hujaziweka.

mambo hayo yapo vile vile kwenye kwenye kuku  wa mayai watu wanaacha gharama nyingi sana na kuuza mayai kwa bei ndogo hivyo wafugaji woote wa kuku Mwanza na shemu nyinginezo mfanye mikutano ya mara kwa mara kwa ajiri ya kupanga bei na wateja wenu watanunua tu kama mtakuwa na bei ya pamoja yenye maslahi

Comment on Kiatu … by Felly
Sikuona Viatu Bw Simba ila mhhhhh

Una picha nzuri sana katika blog yako hasa jinsi tunavyomudu kuvuka maji wakti wa mvua. TYKM