Colour … rangi na uzuri wake
Nimependa mchanganyiko huo wa rangi … kwa kutazama tu lakini. Mimi kuvaa … hapana. Ila ni ubunifu maridhawa. Nani anaweza kunisaidia iwapo hizo ni rangi za taifa fulani au ni kwamba imetokea tu mbunifu akabuni namna hiyo? Tuendelee kuwepo.
Advertisement




Sio peke yako kaka Sam kwa kweli kuangalia tu unapata furaha fulani. Nafukiri ni Jamaica ndio rangi zake halafu na zangu pia kwani hapa nilipo nina hii tamaduni ya kuvaa shingoni na mkononi na rangi hizo:-) nitaichukua picha hii kwani nieipenda sana.
Yasinta
January 27, 2012 at 5:37 pm
Ooh Da Yasinta, asante kwa kuungana nami kupenda rangi hizo. Nimefurahi kujifunza kwamba ni rangi za Taifa la Jamaica. Safi sana. Aaah, nimefurahi sana kuona picha ya mtoto anayesoma kitabu katika ukurasa wako. Asante sana. Nitamfikishia salamu zako.
Deogratias Simba
January 28, 2012 at 12:04 am