Riziki … kila mmoja na njia yake
‘Nauza’ soka … bei chee
Nakaza msuli ili kujipatia maisha …
Na kuna wanaojipatia maisha yao ‘baharini’ … bahari ni pana, ni pana sana … tafuta nafasi yako, hutoikosa.
WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.
Ni kweli…umenikumbusha mbali sana siku moja tulipokuwa safarini kwenda Mbamba bay tukakutana na muuza urembo yaani kulikuwa hakuna hata nyumba na jua kali kweli …..maisha haya kweli kaaazi kwelikweli
Yasinta
January 19, 2012 at 6:37 pm