Africa … siri ya kuondokana na ‘utegemezi’
Tukijitosheleza kwa shibe … maendeleo mengine yatafuata. Ni muhimu tuhakikishe tunazalisha chakula cha kutosha na hata kuwa na ziada. Siku hizi nimekuwa nikisikia msemo huu: Adui yako, mwombee njaa. Nadhani kuna hekima kubwa nyuma yake, kwani tunaweza kuugeuza msemo huo na kusema ‘Tujiletee fanaka ili kuwa na fanaka zaidi’. Chakula. Kilimo kwanza. Kilimo cha kufa na kupona. Kilimo ni uti wa mgongo. Sasa MANENO pembeni na tufanye KAZI!




Duh! kaka Sama umenikumbusha kweli nyumbani…kuona haya mahindi nimejikuta nipo nyumbani kwa kweli nyumbani ni nyumbani..halafu ….
yasinta/kapulya
January 15, 2012 at 2:33 pm
Halafu, huwezi amini kwamba hapo ni Dar es Salaam. Sasa hebu piga picha lile hindi la kule Songea litakuwa katika hali gani … Kilimo … kimetutoa mbali hata kama wengi wetu tuna kawaida ya kukipiga kumbo …
Deogratias Simba
January 15, 2012 at 10:46 pm
As a Newbie, I am continuously exploring online for articles that can aid me. Thank you
pozycjonowanie
January 22, 2012 at 12:42 pm