simbadeo2000

Tuna historia … tuitunze | Mar 29th 2009

dscf0028

Historia hii itunzwe. Ni hazina kubwa itakayolisaidia Taifa hili katika miaka ijayo. Hao wanaoitwa ‘waendelezaji’ waende kuendeleeza jiji huko pembezoni, siyo hapa katikati.

Na mvua inapotua jijini Dar mambo huwa hivi mitaani:

dscf0034

Mitaa hubaki mitupu.

dscf0035

Na baada ya mitaro ya maji machafu kuziba, basi maji hufurika barabarani. Hali hiyo inapotokea, unachagua moja kati ya mawili – au unajitosa kukanyaka maji hayo au kulipa sh 100 ili uvushwe katika maji machafu kwa kubebwa kwenye mkokoteni. Mababa wa Jiji, kazi mnayo!


Posted in Siasa na jamii

1 Comment »

  1. katika wilaya ya kahama kuna sehem moja panaitwa MFUFUMO ni kijiji cha maajabu .
    Mpaka muda huu ninao ongea mimi mwenyewe nipo hapa kuna mama mmoja wa ajabu anajua kila lugha.
    Na anasema yeye ni mailaikas katumwa kuja kuwahubiri watu waache madhambi .
    mama huyo yuko juu ya mlima na kuna maji mengi ya tililika toka juu mpaka chini ukifika pale kila swali swali ukalo nmuuliza lazima akujibu.
    kweli ni mtu wa maajabu na viongozi wa wilaya huwa wakwenda kummuangalia wala hawmwmbii ahame kama hamuamiani nttuwasiliane kwa e mail yangu ni wape diretion nzuri.

    Comment by andrew — September 23, 2009 @ 2:03 pm


Say something?Comments RSS TrackBack URI

About author

I am a citizen of Tanzania. I live in Dar es Salaam, commercial city of Tanzania. I am an editor, particularly dealing with books as well as other publications and related activities: editing, translating, supervising design and layout, monitoring printing, warehousing and dissemination of the books. I am also an author: I write children's story books, school textbooks and adult books. I undertake translation tasks from English to Kiswahili and vice versa. I do book indexing, that is preparing an index for a professional book. Contact: kakasimba@gmail.com . Feel free to get in touch with me.

Search

Navigation

Categories:

Links:

Archives:

Feeds